July 19, 2018

1 COMMENTS:

  1. Simba hii inajitofautisha na klabu nyingine katika ukanda huu wa mashariki na kati ya Afrika, mambo yanafanyika kwa weledi mkubwa, timu ina malengo na inatafuta njia la kufikia malengo hayo, na ndio maana wanaliimarisha benchi la ufundi, wachezaji wenye uwezo mkubwa wanasajiliwa, wanabadili muundo wa uendeshaji....halafu wanapeleka timu kwenye mashindano sio kubahatisha, na kutegemea miujiza ya Mungu, na visingizio ooh mara refa, ooh hoteli, ooh mara figisu figisu. Huu ni mfano wa kuigwa. Na pia wanawapasha wapenzi kila hatua, kwa uwazi

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic