July 15, 2018

2 COMMENTS:

  1. Kuna kauli za baadhi ya wanasiasa za wakati huo za kumdhihaki au kumbeza aliekuwa kiongozi wa juu nchini kuwa alikuwa legelege na kutoa maneno mengi ya kashfa juu yake. Sasa naona kama Mungu alikuwa akitega sikio lake kusikia kilio chao kwa kuwaletea mwanamune wa shoka isipokuwa wahusika wenyewe waliokuwa wakililia kiongozi mwanamume wa shoka kuja kuwaongaza bado wameendelea na tabia legelege ya wakati huo matokeo yake wamejikuta wapo katika wakati ngumu hadi huruma. Hakika kwa chi yetu ilipofikia ilihitaji kama si kiongozi katili basi awe jasiri wa kweli kweli. Kiongozi atakae kuja kuwaamsha watanzania kutoka usingizini hatimae kuamka na kujitambua kwamba jukumu la kusimamia maendeleo ya Tanzania ni ya mtanzania mwenyewe na inawezekana. Kwa hivyo Magufuli tumechelewa kumpata lakini amefika katika wakati sahihi kwani sasa Tanzania inarasilimali watu wa kutosha wa kufanya mageuzi ya kimaendeleo kilichokuwa kinakosekana ni mtu sahihi wa kuisimamia rasilimali hiyo lakini ujio wa Maghufuli ni sawa na kutokezea daktari bingwa wa kutibu maeraha kwenye tukio la ajali. Wanaolalamika na kumzodoa Magufuli kamwe hawatawacha kufanya hivyo hata Magufuli akiamua kuidhinisha cheki za kukidhi mahitaji yao kila siku bure kwa maisha yao yote. Ni moja ya hulka ya mwanadamu lazima itatokezea wasaliti hata kama watapambwa kwa kuitwa wapinzani. Katika hali ya kawaida sio rahisi kuamini yakuwa YESU aliuwawa? Wapinzani waliojibiidisha hadi kuwa maadui hadi kuchukua uamuzi na kumuua Yesu kwa mateso kwa tuhuma za hovyo. Kwa hivyo kiongozi hata awe mzuri vipi lazima kutatokezea wapinzani. Ila wazungu wanamsemo unaosema huwezi kulalamikia maovu yaliozagaa nchini bila ya kuwalalamikia wenye uwezo wa kuzuia maovu hayo yasitokee. Jukumu la kumuunga mkono Maghufili tamu/ chungu ni jukumu la kila mtanzania anaejitambua na anaemini uhalali wa kazi yake anayoifanya kwa budii pekee ndio ukombozi wa utu wake. Unapokuwa na kiongozi anaesimamia haki za watu wake kama Magufuli then any dream can come true. Chapa kazi tu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inaonekana hujui hata maandiko,ilikuwa lazima mwana wa Adam afe ili tusafishwe zambi zetu. Ilikuwa lazima asalitiwe ili neno litimie. Acheni kumfananisha mungu na vitu vingine. Jenga hoja zako lakini si kwakuongelea neno LA mungu usilolijua.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic