HAJI MANARA AFUNGUKA JUU YA UNAZI WAKE NA SIMBA, AMPIGA DONGO LA KIAINA DISMAS TEN
Na Haji S Manara
Kuna jambo watu waliokuja mjini na matela ya trekta hawalijui kuhusu De le boss!!
Mimi nimeanza kushabikia klabu ya Simba tokea mtoto,na ndio maana kwa miaka niliyokuwa sifanyi kazi yangu ya sasa.
Nimeshasafiri na mnyama kuanzia Cairo hadi Nampula, kuanzia Kigali hadi Nairobi kutokea Kampala ya Micho na Siang'a hadi kuishangilia Simba Lusaka tena toka mfukoni kwangu.
Hivyo muelewe mimi licha ya usemaji wa Simba ni mnazi niliyotopea.
Nliandaliwa sikuletwa toka milimani kuja kukaa na laptop (Kompyuta Mpakato) ofisini na ndiyo maana naenda mwenyewe SITE kuikuza BRABD ya klabu na kuleta watu viwanjani.
Sipo kutunga mafumbo kama BAKITA. Mwanamme hatungi ngonjera katika kuinadi taasisi anayoiongoza. Anasema hadharani nipo ROUD na klabu yangu.
Kwangu Simba kwanza kazi baadae sababu nina nasaba nayo. Babu na mababu waliiongoza toka kitambo.
Hatujajuana na Simba barabarani kama ambao waliletwa na magari ya chuma kukaa kujifungia maofisini.
Kama hadija manara...
ReplyDeleteKubwa jinga hilo linaforce kufanana alitaka Tena aweanakata viuno kama yeye mwenzio hana huruka simba imepita wasemaji wangapi wote hawakuwa na tabia za ajabu kama yeye kichwaa manara na usipoangalia utakula hadi mavi
ReplyDeleteWhat if kama siku hatokua msemaji hiyo timu jifunze kufanya vitu kwa ustaarabu simba sio kiuno chako unachokatikatika hovyo useme utazikwa nacho nyambavu
ReplyDeleteNimependa alichosema de la boss kweli msemaji WA gongowazi kazubaa sana
ReplyDeleteShoga
ReplyDeleteD 10 anatumia elimu yake kuiongoza yanga na anatuhamasisha hata akiwa ofisini....sio lazima afanye kile ambacho wewe unakifanya,usifosi mfanane bro....sio kama wewe hupendi kufanya anachokifanya D 10 bali ni kwa kuwa elimu yako ndogo ndo mana unaona huna namna nyingine ya kufanya kazi zaidi ya kutumia hiyo njia unayotumia kujifanya chizi fresh mbulula wewe!!!!!.
ReplyDelete