August 25, 2018


Manchester City imebanwa mbavu na Wolves katika mchezo wa Ligi Kuu England kwa matokeo ya sare ya 1-1.

Wolves walikuwa wa kwanza kujipatia bao la kwanza kupitia kwa Boly aliyefunga mnamo dakika ya 57.

City walikuja kusawazisha baadaye kupitia kwa Laporte kwenye dakika ya 69 na kuufanya mchezo huo umalizike kwa matokeo hayo.

Tazama picha za matukio ya mchezo huo hapa Pichaz Zaidi

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic