MANARA AZITOFAUTISHA SIMBA NA YANGA KITAKWIMU
Na Haji Manara
Wakati mashabiki wa Simba walinuna pamoja na kushinda mechi zote mbili huku wakiongoza katika umiliki wa mpira kwa kiwango kikubwa, upande wa pili walishangilia sana huku wakizidiwa umiliki wa mpira kwa mbali na Mtibwa.
Nini maana yake?
Simba wanataka zaidi ya ushindi, washabiki wake hawaridhiki na pointi tatu pekee, na kuongoza umiliki.
Mashabiki wa Simba wanataka kutawala mechi kwa zaidi ya 90% wakati wenzao wanachojua ni kupiga mbele hata kama kuna mchango wa kusaidiwa tuta la kufoji (sasa wanachangisha ulichonacho)
Nawasihi wachezaji wangu wa Simba hampaswi kushinda peke yake bali mnapaswa kwenda zaidi ya hapo.
Ingekuwa nyie ndio mngezidiwa umiliki wa mpira kama walivyozidiwa Yanga, nahisi mashabiki wenu wangewameza.
Nimeweka takwimu za mechi zote na sitarajii kuona mswahili yoyote anabishana na ukweli.
Yanga hawana pesa kama nyinyi. Yanga hata wakifungwa mashabiki wao wanajua wazi kuwa kwa sasa wanapitia kipindi kigumu. Simba wana fedha, wachezaji wanalipwa mamilioni. Tatizo hawaoneshi uwanjani thamani ya kile wanacholipwa.
ReplyDeleteHamkopeshi!!
DeleteSitoshangaa hata siku simba ikifungwa akujakuwaeleza wanachama kuwa wasi na wasi timu ilimiliki mpira kwa muda mwingi
ReplyDeleteNdugu yangu HAJI, kuilinganisha SIMBA na YANGA ni vitu tofauti sana, ingawa wote wapo kwenye ligi moja, unatakiwa kutoa hoja upande wako wa SIMBA inayolingania na uwekezaji wao kimiundo mbinu, ufundi na gharama na mwenendo wa uchezaji wao...bado SIMBA inahitaji marekebisho nasi kuitazama YANGA, SIMBA OYEEEE!!!
ReplyDeletehuyu boya hata haieleweki....bora akae kimya tu.Juzi wakati wanasimba wakilalamikia ushindi kiduchu yeye aliinuka na kutetea kwa kusema kuwa wanasimba yawapasa waelewe kuwa mpira ni sayansi kubwa sana.....sasa kama anajua mpira ni sayansi kubwa na lolote laweza kutokea mbona yanga anapofanya vibaya anaropoka kama shoga.leo anaongelea tofauti ya umiliki wa mpira ya yanga na simba wakati huohuo amesahau tofauti ya nguvu ya uwekezaji iliyotumika kwa simba na yanga......isitoshe siku zote anaejua mpira anajua kuwa mpira ni magoli na si umiliki wa mpira,ukimiliki mpira kwa asilimia 90 halafu ukapoteza mchezo....huo umiliki wako utakusaidia nini wewe pimbi?
DeleteTunamkubali sana Msemaji wetu Haji Manara na tunaamini sana anachokisema.
ReplyDeleteLakini si sahihi kila siku kushindana na Mashabiki wake wa Simba pale wanapoacha kurizika na matokeo na kulalamika kwani ni hamu yao kuona kila mechi ya Simba tunashinda na hii ni kawaida Shabiki wa Club yoyote Diniani.
Pale Mategemeo ya Club inapokuwa na Malengo makubwa ukumbuke na Mashabiki pia wanakuwa na msisimuko huo huo.
Manara anapofanya majibizano na sisi Mashabiki wa Simba ni kama kutengeneza mgogoro wa ndani wa Vita ya maneno ndani ya Club. Acha Mashabiki watoe ya kwao ya Moyoni halafu nyinyi viongozi fanyeni yale yaliyo wajibu wenu.
Otherwise mimi narizika na timu yetu.
Kiongozi wakuu wa Klabu wapo wanafuatilia hali hii. Sio busara kubishana na mashabiki wak wanapotoa hisia zao kuhusu timu yao wanaoishabikia. Sisi mashabiki tunampenda sana Msemaji wetu wa Klabu Haji Manara, anafanya kazi Mkubwa na nzuri, lakini tunamuomba sana asibishane na wanasimba wenzie mashabiki ambao kiu yetu ni timu kushinda kwa kishindo sisi ni binadamu tuna hisia na maoni tofauti yeye kama kiongozi asibishane na kutushambulia kwenye mitandao na magazetini. AAchie wahusika benchi la ufundi wafanyie kazi. Kushambuliana kwa maneno ya kejeli kwenye mitandao hakujengi bali kunabomoa umoja wetu.
DeleteZeruzeru pambana na hali ya timu yako. Kujilinganisha na wengine ni kujionyesha kuwa u maskini kiakili. Kuna timu ishirini katika ligi.Je, umesahau nini Yanga?
ReplyDeleteNaamini Viongozi wakuu wa Klabu yetu ya Simba wapo wanafuatilia hali hii. Sio busara kubishana na mashabiki wenu wanapotoa hisia zao kuhusu timu yao wanaoishabikia. Sisi mashabiki tunampenda sana Msemaji wetu wa Klabu Haji Manara, anafanya kazi kubwa na nzuri, lakini tunamuomba sana asibishane na wanasimba wenzie mashabiki ambao kiu yetu ni timu kushinda kwa kishindo sisi ni binadamu tuna hisia na maoni tofauti yeye kama kiongozi asibishane na kutushambulia kwenye mitandao na magazetini. Achia wahusika benchi la ufundi wafanyie kazi. Kushambuliana kwa maneno ya kejeli kwenye mitandao hakujengi bali kunabomoa umoja wetu.
ReplyDeleteReply
Ahh ile penati ya Ngasa ya kufoji na je goli la Makambo nalo refa alifoji kulikataa kweli mtoto wa ma...lya ni msema kweli
ReplyDeleteKonaball wacha ujinga. Baada ya muda mrefu umeanza kufungua mdomo wako mchafu. Haji ni mtoto wa mchezaji wenu wa zamani Sunday Manara. Kumtukana ni pamoja nä kumtukana baba yake kwa tusi ulilotumia.Umechangia ngapi kwenye bakuli la michango?Au kazi yako ni usabasi na udomokaya?
ReplyDelete