September 19, 2018


Baada ya kipa Peter Manyika kujiengua kuitumikia Singida United kwa kushindwa kulipwa fedha zake, beki wa kimataifa kutoka Uganda, Shafik Batambuze naye amegoma.

Batambuze ambaye alisajiliwa na Singida United imeelezwa mpaka leo hajalipwa fedha za usajili wake.

Licha ya kutolipwa, unaambiwa tangu msimu huu uanze Batambuze hajahusika katika mchezo wowote ule wa Singida United katika mechi za ligi.

Kutokana na kutolipwa fedha za usajili pamoja na mishahara ya miezi kadhaa, Batambuze ameamua kugomea mechi za timu hiyo mpaka pale klabu itakapoweza kulipa fedha zake.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic