Hatimaye SportPesa imeingia Kigoma, baada ya Hamis Kanuma (19) kujishindia Bajaj ya nne katika promosheni inayoendelea ya shinda zaidi na SportPesa.
Hamis alijishindia Bajaj baada ya kubashiri na SportPesa namba yake kuingia kwenye droo na kushinda Bajaj mpya.
"Nimefurahi sana kushinda Bajaj kutoka SportPesa na hata mama yangu amefurahi sana, naamini itatusaidia kuinua maisha yeti," alisema Kanuma.
Kanuma amesema anategemea kuitumia kufanyia biashara na ataiendesha mwenyewe ili kujiongezea kipato.
"Nitaiendesha mwenyewe na nategemea kuitumia kufanya biashara na kuinua maisha yangu," aliongeza Kanuma.
Hii ni mara ya kwanza kwa sportpesa kupata mshindi wa Bajaj kutoka Kigoma, na inaonyesha jinsi ambavyo watu wengi zaidi kutoka kote nchini wameichagua SportPesa kama kampuni yao ya kubashiria.
Hadi sasa jumla ya Bajaj nne zimeshapata washindi ambao wametoka katika maeneo tofauti tofauti hapa nchini.
Baada ya SportPesa kuboresha menu ya *150*87# wateja wamerahisishiwa kuweza kufanya mambo mengi kupitia kubofya namba hiyo.
Hivi sasa mteja wa SportPesa anaweza kumaliza kazi zake zote kupitia menu hiyo kama vile, kujisajili, kuweka fedha, kucheza, kubadilisha namba ya siri au hata kufuta bet
Katika promosheni iliyopita ya shinda na SportPesa zaidi ya watanzania mia moja walijishindia Bajaj toka SportPesa na kubadilisha maisha yao
Awamu hii ya promosheni ya shinda zaidi na SportPesa pia zimetengwa Bajaj mia moja ambazo kwa siku mia moja wateja wa sportpesa wanaweza kujishindia kadri watakavyokuwa wanacheza
Huu Ndio Muda Wako kuitumia Fursa Hii kutoka SportPesa Kwani Buku Yako tu inaweza kubadili Maisha Na uzuri Ni Kwamba Yeyeto anayebashiri Moja Kwa Moja anaingia Kwenye Droo inayoruka live kila Siku Saa 12:50 jioni EATV Na ITV









0 COMMENTS:
Post a Comment