Djuma ameshindwa kusafiri kutokana na kukabidhiwa majukumu ya kuwanoa wachezaji waliobaki kwa ajili ya mechi za ligi zijazo.
Wachezaji wa Simba waliobaki Dar es Salaam wameungana na wale wa kikosi cha pili (U20) ambacho kwa ujumla atakuwa anakinoa.
Simba utacheza dhidi ya Mbao FC Alhamis ya wiki hii Septemba 20 na Septemba 22 kitakuwa Shinyanga kwa ajili ya mechi dhidi ya Mwadui FC.
Mbona safi tu kama kweli wanavyosema Simba ndivyo ilivyo,yakwamba wameamua kukipa kipau mbele kikosi chao cha pili kwa kumkabidhi Masoud Djuma hakuna shida hapo kwani hiyo ndio akili na msingi wakuwa na timu imara ya baadae. Watanzania ni wataalamu wa umbea na uongo kwani ukizisoma taarifa za Masoud Djuma kwenye baadhi ya vyombo vya habari jinsi walivyozipamba habari za uongo kana kwamba wana uhakika na wanchokisema. Habari za uhakika za hatma ya Masoud Djuma ndani ya Simba haziwezikuwa za uhakika mapaka zithibitishwe na waajiri wake yaani viongozi Simba la sivyo habari nyengine zote zitakuwa ni za kutunga na unafiki mkubwa na sidhani kama ni jambo la sifa kusambaza uongo.
ReplyDeleteBlog hii ni "championi" wa kusambaza umbeya chuki na majungu.
ReplyDelete