October 31, 2018


Timu ya ushindi SportPesa imeingia kijiji cha utete Wilaya ya Rufiji mkoa wa Pwani tayari kabisa kumkabidhi Bajaj Re mshindi wa droo ya 29, Athumani Matimbwa.

Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa bajaj yake Matimbwa alisema tangu ameanza kutupia ubashiri wake haikumchukua muda mpaka kushinda huku akieleza kuwa sababu kubwa iliyomvutia mpaka kujiunga na SportPesa ni kutokana na urahisi wa kucheza na timu hiyo ya ushindi.


Aidha, Matimbwa aliongeza kuwa bajaj hiyo itamsaidia kwa mambo mengi ikiwa ni pamoja na kuweza kununua kiwanja, kumsaidia kwenye shughuli za kilimo sambamba na kuwainua wazazi wake kiuchumi.

"Nina sababu nyingi za kuupokea ushindi huu kwa shangwe maana kuna mambo mengi nayaona yanaenda kubadilika kupitia Bajaj hii, kikubwa ni kupambana na kuondoka na hali hii niliyonayo hivi na malengo yangu ni kuona bajaj hii inaniingizia kipato ambacho kitanisaidia mimi pamoja na wazazi wangu" alisema Matimbwa.

Hata hivyo mshindi huyo wa droo ya 29 alisema ushindi huo ndio umempa chachu kubwa ya kuendele kucheza na SportPesa huku akiamini bado anao uwezo wa kushinda zawadi nyingine kama vile Jackpot ambayo mpaka hivi sasa imesimamia kwenye zaidi ya shilingi milioni 369.

Akziungumza kwa upande wa SportPesa Meneja Uhusiano Bi Sabrina Msuya alisema “Kupitia promosheni ya Shinda Zaidi na SportPesa tunaendelea kupata wahindi kutoka mikoa mbalimbali nchini ambapo mpaka sasa tunajumla ya washindi 40 ambao wameondoka na Bajaji mpya na kuendelea kubadili ama kuinua maisha yao kiuchumi.”

“Ukiacha Bajaji kuna zawadi nyingine kama Jersey za Simba na Yanga, Simu za mkononi ambazo hutolewa kila wiki na ticket za kuhudhuria ligi ya Laliga na Uingereza kila mwezi”


Kila mtu anaweza kushinda na mtaji wako mkubwa ni simu yako yako ya mkononi unapiga *150*87# hapo utaweka pesa kwenye akaunti yako ya SportPesa ili uweze kubashiri na kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbalimbali.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic