![]() |
| DK NDUMBARO AKIHUTUBIA. |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro amekuwa mgeni reami wakati wa kuadhimisha siku ya Taifa la Hispania iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo alisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Tanzania na Uhispania.
![]() |
| KAIMU BALOZI WA HISPANIA, TERESA MARTIN. |
Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mabalozi na wageni mbalimbali ambao pia walipokea mwaliko maalum.
Dk Ndumbaro amekuwa mtu ambaye wanamichezo wanajivunia baada ya mafanikio ya haraka kisiasa.
Dk Ndumbaro pia ni Mbunge wa Songea Mjini (CCM) na amekuwa kati ya wanamichezo wakweli na wanaoaminika zaidi na wanamichezo nchini.
![]() |
| WAALIKWA. |










0 COMMENTS:
Post a Comment