October 9, 2018


Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amewataka wachezaji wanaocheza Ligi Kuu Bara kuhakikisha wanajituma ili kufuata nyayo za Mbwana Samatta anayeki[iga KRC Genk Ubelgiji.

Manara ameeleza kuwa ifikir hatua wachezaji hao waone wivu juu ya kile anachokifanya Samatta ili nao waweze kucheza soka la kimataifa.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya Samatta kuhusishwa kusajiliwa na timu kadhaa zinazoshiriki Ligi Kuu England ikiwemo Everton na West Ham United.

Mara amewataja baadhi ya wachezaji ikiwemo Adam Salamba, Ibrahim Ajibu, Kelvin Sabato, Gadiel Michael na wengine akiamini kuwa wanaweza kufika Samatta alipo huku akiwataka wapambane.


1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic