VIDEO - SERIKALI YAZUIA DREAM LINER KUTUMIWA NA STARS KWENDA CAPE VERDE, MWAKYEMBE AFUNGUKA
Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Harrison Mwakyembe, ametangaza serikali kuahirisha kutumia ndege yake ya DreamLiner kwa ajili ya kuipelekea Taifa Stars, Cape Verde.
Jambo jema kwa Wa Tanzania no kwa timu yetu kusafiri na kupata ushindi. Mengine mbwembwe
ReplyDelete