October 12, 2018



Hii ni taswira halisi ya nyumbani kwa mfanyabiashara Mohammed Dewji (MO) maeneo ya Oysterbay jijini Dar es Salaam ambaye ametekwa leo alfajiri katika eneo ambalo anafanyia mazoezi kila siku (GYM) Colosseum iliyopo maeneo ya Masaki.

Global TV imeweza kufika eneo amablo anaishi na kuangalia hali halisi ya kwake na kukuta ulinzi mkali unaendelea nyumbani kwake hapo.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic