October 15, 2018


Mshambuliaji wa Bayer Leverkusen, Leon Bailey' amegoma kuichezea timu ya taifa ya Jamaica kwa madai kuwa mdogo wake hajaitwa.

Bailey ambaye aliwahi kucheza na Samatta wakiwa KRC Genk amechukua uamuzi huo kwa kuwa mdogo wake aitwaye Kyle Butler hajaitwa.
Imeelezwa, Bailey aliomba mdoho wake huyo aitwe na akakubaliwa. Lakini baada ya majina kutangazwa hakuitwa.

Mdogo wake huyo anakipiga katika klabu ya Juniors OO ya Austrian na ana umri wa miaka 20.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic