VIDEO: HAJI MANARA AWATAJA WACHEZAJI WAWILI PEKEE AMBAO NI HABARI YA MJINI HIVI SASA
Mchezaji wa kimataifa wa Cameroon na vilabu kadhaa Barani Ulaya Samwel Eto’o Phills anatarajia kutua nchini Jumatano ya wiki hii kwa ajili ya uzinduzi wa ujenzi wa uwanja wa Mpira wa Miguu utakaokuwa unamiliwa na kampuni ya Bia Tanzania –TBL.
Mbali na kuzindua uwanja huo huo Eto'o atashiriki kuhamasisha vijana kuhusu michezo hapa nchini
Pamela Kikuli ni Meneja wa Bia Castle na hapa anafafanua juu ya kampeni ya kuwaleta watu pamoja pia imezihusha Simba na Yanga
Kwa upande wao wasemaji wa Simba na Yanga wamewapongeza castle lager kwa kusapoti maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini.
0 COMMENTS:
Post a Comment