October 10, 2018


Wakati kikosi cha Taifa Stasr kikiondoka alfajir ya leo kuelekea Cape Verde kwa ajili ya kuwania tiketi ya kufuzu kucheza AFCON 2019, baadhi ya wachezaji wamesalia nchini.

Wachezaji hao wameshindwa kuungana na wenzao kutokana na kupatwa na majeraha ambayo yamesababisha wasiwe kwenye msafara wa safara hiyo.

Orodha ya wachezaji waliobaki ni:-

Salum Kihimbwa (Mtibwa Sugar)
Kelvin Sabato (Mtibwa Sugar)
Andrew Vincent (Yanga)
Jonas Mkude (Simba)
Mohammed Abdulrahman (JKT Tanzania)
Frank Domayo (Azam FC)

1 COMMENTS:

  1. Nacheka na Sabato, aliloooonga baada ya Bocco kuachwa first match vs Uganda, kibao kimegeuka, wachezaji wetu wajifunze kuhifadhi maneno!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic