November 4, 2018




Mambo mazuri, beki Abdi Banda wa Baroka FC, ameingia mkataba wa mwaka mmoja na kampuni ya vifaa vya michezo ya Umbro.

Mtanzania Banda anaingia kwenye idadi ya wachezaji maarufu wanaodhaminiwa na Umbro na sasa ataachana na viatu alivyokuwa akivaa aina ya Adidas.


Juzi, Banda amerejea mazoezini baada ya kukaa nje kwa wiki mbili na ushee baada ya kuumia akiitumikia Taifa Stars dhidi ya Cape Verde.

Nyumbani Tanzania, Banda alianza kuonyesha cheche zake akiwa na Coastal Union kabla ya kutua Simba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic