HII HAPA ORODHA KAMILI YA WANACHAMA YANGA WALIOCHUKUA FOMU KUWANIA NAFASI YA MANJI
Wanachama mbalimbali wa Yanga wamezidi kujitokeza kuchukua fomu kwa ajili ya kuchukua fomu za kugombea nafasi tofautitofauti kuelekea uchaguzi wa klabu hiyo.
Takribani masaa 14 yaliyopita, idadi inayoonekana hapo chini ndiyo ilikuwa imeshachukua fomu, tutazidi kukuza wengine ambao watawasili kunako Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na Makao Makuu ya Yanga.
1. Jonas Tibaroha
2. Iman Madega
3. Yono Kevela
4. Titus Osoro
5. Mbaraka Igangula
Makamu Mwenyekiti
1. Yono Kevele
2. Titus Osoro
Nafasi za Ujumbe
1. Mussa Katabalo
2. Salim Seif
3. Benjamini Jackson
4-Pindu Luloya
5. Silvester Haule
6. Hamad Islam
7. Shaffii Amri
8. Said Baraka
9. Dominic Francis
10. Ally Msingwa
11. Leonard Malongo
12. Salum Chota
13. Ramadhan Said
14. Geofrey Mwita
15. Frank Kalokalo
16. Arafati Haji








Hivi kisheria inaruhusiwa mgombea mmoja kugombea nafasi mbili tofauti katika uchaguzi mmoja?!yani agombee Uenyekiti,kisha agombee UmMakamu?!
ReplyDeleteHajagombea, ameomba kugombea
DeleteTuombe MUNGU uchaguzi huu usiwe chanzo cha migogoro ndani ya klabu. Natumaini huu ndio mwanzo wa mafanikio ya klabu na mabadiliko kueleke ktk mfumo wa kumiliki hisa.
ReplyDelete