KOCHA SIMBA ATAJA SIRI ILIYOKUWA NYUMA YA PAZIA KWA WACHEZAJI WAKE DHIDI YA BIG BULLETS
Tatizo la umaliziaji kwa nafasi ambazo wanazipata bado limeendelea kuwamaliza Simba kwa kuwa walifanikiwa kuwa na umiliki wa mpira na kufanya mashambulizi ya hapa na pale katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Nyasa Big Bullets ya kutoka Malawi.
Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam leo, umemelizika kwa timu zote kutoona lango la mpinzani na kufanya takwimu.








Kiukweli sijaelewa umeandika nini et yaani pumba tu
ReplyDeleteMwandish boya uyuuuu
ReplyDelete