November 20, 2018


Mabingwa wa kihistoria Yanga wameshatia timu katika mkoa wa Shinyanga tayari kwa ajili ya mchezo wao dhidi ya Mwadui FC utakaochezwa uwanja wa Kambarage Novemba 22.

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mrisho Ngassa amesema kuwa wanaamini kwamba watafanya vizuri katika mchezo wao kutokana na maandalizi waliyoyafanya.


"Tupo tayari kwa ajili ya mapambano, tumejiandaa vizuri kwa kuwa tumecheza pia mechi nyingi za kirafiki zimetuimarisha, tuna imani tutachukua pointi tatu.


"Mashabiki watupe sapoti kwa kuwa furaha yetu ni kufanya vizuri na kwa matokeo hayo yatatufanya tuzidi kuwa sehemu nzuri zaidi," alisema.

3 COMMENTS:

  1. Kuna mtandao umesukwa kutokea Serikalini, Wizarani, Magazeti, waandishi wa Habari, BMT na TFF, Body ya Ligi na baadhi ya wanachama maarufu wa Yanga, kwa lengo la KUIHUJUMU NA KUIDHOOFISHA YANGA....mfano Uchaguzi angalia mchakato mzima....kabla, na wakati wa uchaguzi wenyewe. Angalia kwenye mechi ya kirafiki Namungo njoo kwenye wachezaji wa Timu za Taifa (u23 na Taifa Stars) hawajaripoti kambi ya Yanga kwenda kucheza mechi na Maadui...Bodi ya Ligi ingesogeza mechi yao ili kuruhusu wachezaji wao wajiunge na timu hawakufanya hivyo....ila Simba wameruhusiwa. Ukija kwenye mchakato wa ratiba za mechi zilizopangwa na bodi ya ligi....njoo uangalie sarakasi za uchaguzi...Swali Kwanini kakolanya, Yondani, ninja, kabwili na Paulo Godfrey hawatajiunga na Timu ili kuwahi mechi na Mwadui. Wenye akili tushajua hili...

    ReplyDelete
  2. Kuna mtandao umesukwa kutokea Serikalini, Wizarani, Magazeti, waandishi wa Habari, BMT na TFF, Body ya Ligi na baadhi ya wanachama maarufu wa Yanga, kwa lengo la KUIHUJUMU NA KUIDHOOFISHA YANGA....mfano Uchaguzi angalia mchakato mzima....kabla, na wakati wa uchaguzi wenyewe. Angalia kwenye mechi ya kirafiki Namungo njoo kwenye wachezaji wa Timu za Taifa (u23 na Taifa Stars) hawajaripoti kambi ya Yanga kwenda kucheza mechi na mwadui...Bodi ya Ligi ingesogeza mechi yao ili kuruhusu wachezaji wao wajiunge na timu hawakufanya hivyo....ila Simba wameruhusiwa. Ukija kwenye mchakato wa ratiba za mechi zilizopangwa na bodi ya ligi....njoo uangalie sarakasi za uchaguzi...Swali Kwanini kakolanya, Yondani, ninja, kabwili na Paulo Godfrey hawatajiunga na Timu ili kuwahi mechi na Mwadui. Wenye akili tushajua hili...

    ReplyDelete
  3. Duh ndo siasa za Mpira wa bongo hapo ndo unalaumu kocha kwanini tumefungwa na Lesotho turekebishe mambo yetu kwanza huu usiasa katika mpira tuache

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic