December 13, 2018





SportPesa inaendelea kuwapa uhondo wale ambao wanabashiri na timu hiyo ya ushindi maana hivi sasa unaweza kubashiri na SportPesa masoko zaidi ya sita ndani ya mechi moja na ukajikusanyia odds hadi mia nne.


BONYEZA HAPA KUJIUNGA NASI INSTAGRAM ==> SALEH JEMBE SPORTS

Hii inaitwa JENGA BET ambapo mtu anaweza kubashiri kwenye mechi moja nani atafunga, nani atapewa kadi idadi ya kona na nyingine kibao. 


Tembelea tovuti ya SportPesa www.sportpesa.co.tz, bofya sehemu ambayo imeandikwa jengabet moja kwa moja anza kuunda ubashiri wako na kuweza kujishindia xawadi mbalimbali kama fedha taslim endapo utaweka ubashiri sahihi pesa itaingia kwenye akaunti yako ya SportPesa, Bajaji mpya, Jezi orijino za Simba na Yanga, pamoja na tiketi ya kwenda kushuhudia mechi za simba na Yanga nchini Uingereza.


Wakati huo huo zoezi la kukabidhi bajaji kwa washindi wa Shinda Zaidi na SportPesa limezidi kushika kasi na Eliud Charles Malisawa

Akizungumza na timu  ya Ushindi Ishengoma alisema anashukuru sana kupokea ushindi huo kutoka SportPesa na anachoamini hayo ni matokea ya yeye kucheza mara nyingi na kujiongezea nafasi ya kushinda zaidi. 


"Nadhani mkiangalia idadi ya wanaocheza mara nyingi huko SportPesa mimi pia naweza kuwa miongoni mwao nacheza sana na nimekuwa nikiona kila baada ya ubashiri napokea ujumbe ambao unaniambia nimeingia kwenye droo nikawa najiuliza sasa mbona sishindi jamani kumbe Siku yangu ilikuwa inanisubiri asanteni sana " Alisema Elius.

Tayari mshindi huyo wa droo ya 55  ameweka mikakati kabambe baada ya ushindi ikiwa ni pamoja na kujielekeza zaidi kufanya biashara maana anadai eneo hilo la kilosa kuna bajaj mbili pekee hivyo  kwake hiyo ni Fursa na ataitumia ipasavyo.

"Pesa nyingine ntakayopata kupitia bajaj ntawekeza kwenye kilimo maana hapa huwa kuna utaratibu wa kukodisha mashamba nataka kufanya kilimo cha kisasa mpaka nione napata faida ya kutosha naamini ntamaliza Mwaka Vizuri " Aliongeza Eliud.


Kupitia mitandao yoyote unacheza kwa kupiga * 150 * 87 # na kuweka pesa kwa namba ya kampuni 150888 na kumbukumbu namba 888 ili kuanza kucheza na kushinda zaidi.








0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic