December 16, 2018






Mbwana Samatta ameiongoza KRC Genk kuitwanga Oostende kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Ubelgiji.


Samatta alifunga bao la pili katika dakika ya 74 akiunganisha pasi afi ya Alejandro Pozuero na kuihakikisha Genk ushindi.


Kabla katika dakika ya Malinovskyi alifunga bao la kwanza katika dakika ya 33 akipokea pasi ya Joakim Maehle.


Genk ambao walikuwa nyumbani walitawala mchezo huo na kufanikiwa kupiga kona 13 dhidi ya tatu za wageni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic