Wapinzani wa Simba, Nkana FC ya Zambia wanaonekana kiana kama wana mchecheto hivi.
Maana wameanza kutumia mitandao ya kijamii kupambana na Simba kabla hawajakutana katika Ligi ya Mabingwa Afrika.
Tayari Nkana FC wameanza kutupia mitandaoni wakionyesha kuwa wana uhakika wa kuing'oa Simba kwa kuwa si timu imara.
Zaidi, wameongeza Simba si imara kama Yanga unapokuwa Tanzania. Hivyo wanajua lazima watawaondoshea mbali.
Inaonekana wazi ni sehemu ya Nkana FC anayoichezea Mtanzania, Hassan Kessy kuanza kutafuta mashabiki na hasa wale wa Yanga kwa ajili ya kuwaunga mkono watakapotua hapa nchini.
Maneno ya anayetapatapa. Maneno ya nini wakati jumamosi wanakutana? Nawaheshimu Nkana lakini wanapoibeza Simba? Huo sasa ni uwendawazimu. Simba iliyotengeneza historia nchini leo ukaibeze hivyo? Ushabiki huo ni upuuzi.
ReplyDeleteHawajajisogeza Yanga walichofanya ni kuzungumzia FACT.Tanzania Yanga ndio the best ukipinga ni unazi.Watanzania wanajua,FIFA inajua,Dunia inajua.
ReplyDeleteOngelea mdomo na ubongo.na sio pua.kama ni best walifikia wapi wakati walipangwa na time rahisi...Rayon na Gor..Wanaishia kulalamikia viporo utadhani mwaka Jana hawakuwa navyo..Ndiyo wanashinda kwa kupaki basi...halafu piga pasi ndefu za kushitukiza mbele
Deletehuyu jamaa boya sana......nina wasiwasi kama kweli anaujua mpira.......eti rayon na gormahia ni timu rahisi!!!!!!!.wanaweza wakawa rahisi kwa kuwafananisha na timu nyingine ngumu za afrika lakini sio kwa baadhi ya timu kama wale vibonde wa swaziland mliocheza nao......sasa kwa ulinganufu huo yanga na simba nani amecheza na kibonde zaidi?
DeleteIs the best safi sana.ni kweli kabisa sasa mbona hayumo kwenye ligi yoyote ile either shirikisho au klab bingwa??au ni the best kwenye nin?
ReplyDeleteYanga imeshawahi kuwa club ya 43 kati ya club 1000 za afrika pia walicheza na zanaco ya zambia ilikuwa ngumu sana kuiondoa yanga nadhani waliiondoa yanga kwa goli la ugenini,tena siyo miaka ya 80u 90 ni mwaka juzi 2016 so wanajua wanachoongea,yanga ni zaidi
ReplyDeleteYanga imeshawahi kuwa club ya 43 kati ya club 1000 za afrika pia walicheza na zanaco ya zambia ilikuwa ngumu sana kuiondoa yanga nadhani waliiondoa yanga kwa goli la ugenini,tena siyo miaka ya 80u 90 ni mwaka juzi 2016 so wanajua wanachoongea,yanga ni zaidi
ReplyDelete