December 24, 2018


Kikosi cha Yanga kimeibuka na ushindi mnono wa mabao 4-0 dhidi ya Tukuyu Stars katika mchezo wa Kombe la Shirikisho nchini.

Yanga imepata mabao hayo kupitia kwa Amis Tambwe aliyefunga matatu huko moja likiwekwa kimiani na Mkongomani, Heritier Makambo.

Matokeo hayo yanaifanya Yanga iweze kuendelea kusalia kwenye mashindano kutokana na ushindi wa leo.

Wakati huo Tukuyu Stars imeyaaga rasmi mashindano kwa kupokea kisago hicho cha idadi hiyo kubwa ya mabao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic