January 7, 2019

Usiku wa Januari 6, Dj wa Mwanamuziki Alikiba anayefahamika kwa jina la Dj Feruu amesheherekea Birthday yake na kufanya party maeneo ya Tabata ambayo imehudhuriwa na wasanii wengi akiwemo Aslay na Beka Flavour.

Dj Feruu amepiga stori na Global TV na kuzungumza jinsi ambavyo amefanikiwa kufanya kazi na msanii huyo mpaka kuwa Dj wake rasmi.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic