January 13, 2019




MECHI kali ya fainali ya Mapinduzi, Azam FC wanaongoza kwa mabao 2-1 katika mchezo unaochezwa Uwanja wa  Gombani.

Kipindi cha kwanza Mudhathir Yahya alifanikiwa kuwanyanyua mashabiki wa Azam FC kwa kufunga bao  dakika ya 43.

Yahya aliachia shuti kali akiwa kwenye eneo D akimalizia pasi ya Ennock Atta ambalo lilimshinda mlinda mlango wa Simba, Ally Salim na kuwafanya Azam FC.

Kipindi cha pili dakika 64 Simba wanapata kona inayopigwa na Shiza Kichuya, Yusuf Mlipili anaimalizia kwa kichwa safi.

Obrey Chirwa anafunga bao la pili na lakuongoza kwa Azam FC kwa kichwa

Ushindani ni mkubwa huku kila timu ikipambana kupata matokeo katika mchezo wenye ushindani Uwanja wa Gombani, Pemba.

Mpira kwa sasa ni kipindi cha pili.

2 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic