January 13, 2019

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo ikiwa ni mzunguko wa 21 ambapo timu sita zitashuka Uwanjani kutafuta pointi tatu.

Biashara United ya Mara, leo itakuwa nyumbani ikimenyana na  Coastal Union kutoka Tanga mchezo utakaochezwa Uwanja wa Karume, Musoma.

Mbao FC atakuwa nyumbani Mwanza akimenyana na Stand United ya Shinyanga, Uwanja wa CCM Kirumba na Mbeya City atamkaribisha Mtibwa Sugar Uwanja wa Sokoine Mbeya, michezo yote itachezwa saa 10:00 jioni.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic