January 24, 2019

8 COMMENTS:

  1. Wewe huna undugu na simba!
    AlJanuary 22, 2019 at 7:55 PM
    Kocha wa Yanga hana mbinu anaongea sana na vyombo vya habari badala ya kujikita kukisuka kimbinu timu yake.....watu wanaaminishwa ubora wa timu lakini kiuhalisia beki mbovu sana hata golikipa hawana formation ya kucheza kwa mbinu....Kocha msanii sanii tu Kombe hili anachukua Simba au Gor Mahia. Yanga wasipofanya mageuzi katika beki na viungo vyao jinsi wanavyocheza na kukaba pindi wanapoteza mpira wataendelea watapoteza mechi nyingi....KAMA NI MDAU WA YANGA UNASOMA UJUMBE HUU FIKISHA KWA HARAKA SANA UJUMBE KWA KOCHA

    ReplyDelete
  2. Huyu Mungiki hana hata akili, sheri inaruhusu kutumia mchezaji mwenye temporal license ambayo hutolewa na chama cha mpira cha nchi husika, je hawatambui Simba inashrirki michezo ya kimataifa yaani kombe la washindi kwa hio wamepewa nafasi ya kuongeza wachezaji watatu, sasa kma wanaruhusiwa kuwajaribu kwa nn hilo lisifanyike?? Lakini hata wakinyimwa tushajua beki wetu yuko poa..

    ReplyDelete
    Replies
    1. Onyesha ITC yake ili aruhusiwe kucheza!Acha kukurupuka kama umekula maharage kwa Manara zuzu wewe

      Delete
    2. ITC siyo lazima wewe; #TFF tu wanaweza kulimaliza hilo kwa kumpa leseni ya dharura.. Kitu ambacho siamini kama uongozi wa #Simba ulishindwa kushughulikia..!!

      Delete
  3. KWA HIYO WANATAKA USHINDI WA MEZANI HA HA HAAAAA

    ReplyDelete
  4. KOcha wa #Simba alisema kanuni zinawaruhusu kufanya hivyo.. Nakumbuka hata mwaka jana kule Nakuru #Simba iliwatumia wachezaji kadhaa ambao walikuwa kwenye majaribio.. Mfano Pascal Sergie Wawa..
    Muhimu hapa kujua ni kuwa AFC Leopards wanatafuta ushindi wa mezani..
    Naamini #TFF itafanye haraka iwezavyo kuwezesha hivyo vibali vipatikane waoneshwe hao #mungiki!

    ReplyDelete
  5. Walishajibiwa na TFF...Simba hawajafanya makosa!

    ReplyDelete
  6. HAWA JAMAA SISI TUMEWAPA MCHEZAJI WETU ANACHEZA KWAO KWA MKOPO SISI TUNAMGHARAMIA, KUMBE WAO HAWANA MAANA KABISA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic