Simba imeleta wachezaji wa kigeni wawili ambao ni Lamine Moro kutoka Ghana na Kisimbo Ayibek kutoka Togo kwa ajili ya majaribio.
Baada ya kuwashuhudia wachezaji hao uwanjani jana, Mbelgiji huyo alisema bado wanahitaji zaidi mechi nyingine ili kujua kama wanastahili kuwepo ndani ya kikosi cha Simba au la.
Alieleza kuwa ni mapema kwa sasa kusema zaidi lolote kwani wamecheza mechi moja pekee hivyo wanahitaji kupewa nafasi kwanza.
Simba imetinga kucheza nusu fainali sawa na Mbao ambao wamewaondoa Gor Mahia FC ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Kenya.
Hivi Viongozi wa Timu yangu Simba Sc (Wekundu wa Msimbazi)....fafanueni hili....la kuchezesha wachezaji kinyume na kanuni za mashindano....https://www.kwataunit.co.ke/2019/01/simba-hatihati-kuendelea-na-sportpesa-leopards-watibua.html/37659/
ReplyDeleteWewe timu yako sio simba!Acha unafiki!
ReplyDeleteAlJanuary 22, 2019 at 7:55 PM
Kocha wa Yanga hana mbinu anaongea sana na vyombo vya habari badala ya kujikita kukisuka kimbinu timu yake.....watu wanaaminishwa ubora wa timu lakini kiuhalisia beki mbovu sana hata golikipa hawana formation ya kucheza kwa mbinu....Kocha msanii sanii tu Kombe hili anachukua Simba au Gor Mahia. Yanga wasipofanya mageuzi katika beki na viungo vyao jinsi wanavyocheza na kukaba pindi wanapoteza mpira wataendelea watapoteza mechi nyingi....KAMA NI MDAU WA YANGA UNASOMA UJUMBE HUU FIKISHA KWA HARAKA SANA UJUMBE KWA
Wabongo kwa nini hamtaki kuambiwa ukweli,kwani shabiki wa simba hawezi kushauri au kuhoji baya alilosikia?Maelezo yako hayakupaswa kuunganishwa kwenye comment ya Al japo ni mazuri,kama ni mtihani hapo umezungusha.
DeleteItakuwa inaumiza Simba imepeta Yanga amezungusha..Bora kufanya kama Kocha Zahera kuishia kuitakia Simba kila LA heri ili ichukue kombe LA Sportpesa
DeleteKama kuna tatizo so wakate rufaa..kila timu ambayo hushindwa hupata sababu....hata Yanga walisema eti sababu ya kufungwa na Stand united ni uchovu wakati timu iliyocheza ilikuwa haishiriki mapinduzi cup
ReplyDeleteHiyo AI Yanga ikifungwa anatoa yake masiitiko ya Moyoni kama shabiki wa Yanga.Lakini Simba ikishinda anajidai Mwanza Simba kuhoji kwa mini wamechezesha wachezaji fulani
ReplyDelete