January 19, 2019


MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara wapo nyuma kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya AS Vita katika mchezo wa pili wa Hatua ya Makundi Afrika uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Martrys.

AS Vita walianza kuandika bao dakika ya 14 kupitia kwa Jean Makusu na dakika ya 19 kupitia kwa Butoli Bombunga na bao la tatu likifungwa kwa mkwaju wa penalti na Fabrice Ngoma dakika ya 45 baada ya beki wa Simba Pascal Wawa kumchezea rafu mshambuliaji wa AS Vita.

Makweke Kupa alifunga bao la nne dakika ya 71 kwa kichwa baada ya kupata kona, dakika ya 74 Makusu anaandika bao la tano.

11 COMMENTS:

  1. Tuliwaambia kimataifa hamwendi kucheza na Ndanda,Lipuli n.k Sasa Acha mtwangwe maana Manara anawajaza ujinga kila Siku kwa kuamini mpra unachezwa nje ya uwanja

    ReplyDelete
  2. Afadhali ya kufungwa 5 na Vita kuliko kufungwa 1 na timu ya 16 kwenye ligi ya Bongo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli na ni afadhali kufungwa 1 na timu unayishiriki nayo ligi kuu kuliko kutolewa mashindano ya FA na timu ya daraja la pili...

      Delete
  3. Saleh jembe huwa Sikh simba ikicheza usiku na ikashinda huwa hamtui matokeo.. Unakuta hadi SAA tano asubuhi Siku inayofuatia hamjatoa matokeo.Leo mlikuwa mnatoa update ya mchezo wa yanga na stand united na pindi walivyoenda mapumziko mlitoa matokeo hapo hapo lakini matokeo ya mwisho kutoa mlipata kigugumizi. Sumba wamecheza vizuri kilichotokea ni kuwa AS Vita nafasi walizozipata wamezitumia.Wakija Dar AS Vita wanalala

    ReplyDelete
  4. hongeren simba, maana mmekaza hao vita watu wabaya walikuwa wanawapga hata 8 leo

    ReplyDelete
  5. VITA timu ya kwaida sana tena sana. Kimpira imezidiwa sana na simba. Kama ni kufungwa hata timu bora kama Barcelona imewai kufungwa japo kuwa bado itabaki kuwa ndio timu bora kama inavyobaki simba leo dhidi ya wanunua refa VITA. Wakija Dar nao watapigwa nyingi

    ReplyDelete
  6. Kweli kabisa Sinba bado inabaki kuwa timu bora zaidi Africa na ubingwa mwaka huu bado ni wa sinba. Simba ina pointi zote kwa mchina

    ReplyDelete
  7. Ila jamani sinba wamekosea. Japokuwa waamecheza mpira mwingi na mkubwa zaidi kulinganisha na VITA ila wameniuzi kwa kuacha mahali laini dhidi ya timu laini ya VITA. Simba bado ni bora kimpira nakuunga kabisa ndugu

    ReplyDelete
  8. Yanga sawa tmemefungwa 1 ila jaman cmba 1, 2,3,4,5 duh moja lnazngumzka ila 5 hapana aiseee

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umesahau wiki iliyopita Simba queens wamewapiga Yanga princes ngapi..Au mwaka Jana mlipigwa ngapi Algeria?

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic