January 23, 2019


Dakika za mwisho zinaonekana kutawaliwa zaidi na ubabe huku Simba wakipoteza nafasi tatu za kufunga

Dk 80 sasa, Leopards wanaonekana kuamka na kushambulia mfululizo na Simba wanapaswa kuwa makini
GOOOOOO Dk 61 Oburu ambaye ameingia kipindi cha pili anaifungia Leopards bao la kwanza baada ya Manula kusita kutoka na yeye kuwahi na kuupiga mpira

Dk 60 sasa, Simba wanaonekana kupania kushinda mbao zidi na Leopards wanafanya kazi ya ziada kuwazuia Simba

GOOOOOOO Dk 48 Okwi anawatoka mabeki wawili na kutoa pasi safi ya bao kwa Chama ambaye anafunga akiwa ametulia



Dakika 45 zimekamilika Simba wakimaliza wakiwa mbele kwa bao 1-0, kipindi ambacho wamekitawala

Dk 40 sasa, mashambulizi bado ni kwa zamu ingawa Simba wamepoteza nafasi nyingine mbili.

Dk 31 sasa, Simba bado wanashmbulia zaidi ingawa umaliziaji wao si mzuri sana
GOOOOOOO Dk 13, Okwi anazunguka vizuri mbele ya mabeki watatu baada ya kupokea pasi ya Dilunga na kuandika bao safi kabisa

Dk ya 12 sasa, bado inaonekana kuna kutegeana, bado hakuna mashambulizi makali na gozi zaidi liko katikati ya uwanja.

Mechi inaendelea kati ya Chui wa Kenya na Simba wa Tanzani. Mashambulizi ni kwa zamu

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic