Mbao FC imekuwa timu ya kwanza ya Tanzania kucheza michuano ya SportPesa Super Cup, hatua ya nusu fainali msimu huu.
Mbao inaingia hatua hiyo baada ya kuivua ubingwa Gor Mahia ya Kenya baada ya ushindi wa mabao 4-3 ya mikwaju yah penalti.
Mechi hiyo iliisha kwa sare y mbao 1-1 katika dakika 90 za kawaida, ikaamuliwa mikwaju ya penalti.
0 COMMENTS:
Post a Comment