Mbao FC inakuwa timu ya tatu ya Tanzania kucheza michuano ya SportPesa Super Cup, msimu huu.
Mbao inaingia uwanjani kuwavaa mabingwa wa michuano hiyo Gor Mahia ya Kenya, mechi itakayochezwa mchana.
Hii ni mara ya kwanza kwa Mbao FC kushiriki michuano hii.
Basis wakacheze kama vile huwa wanacheza wakikutana na Simba na Yanga!
ReplyDelete