KIKOSI cha Tanzania Prisons kimefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wapinzani wao Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa leo Uwanja wa Sokoine Mbeya.
Ushindi huu wa leo unakuwa ni wa pili kwa Prisons baada ya kucheza michezo 20 kwenye Ligi kuu ambapo kwa sasa baadhi ya timu zimeanza kucheza michezo ya mzunguko wa pili.
Mabao ya Prisons yalifungwa na Salum Kimenya dakika ya 71 na bao la pili lilifungwa na Jummanne Elifadhili dakika ya 88 kwa mkwaju wa penati.
Matokeo hayo yanaifanya Prisons ifanikiwe kuvuna pointi tatu muhimu na kufikisha jumla ya pointi 15 baada ya kucheza michezo 20.

0 COMMENTS:
Post a Comment