January 11, 2019


Ukisikiliza nyimbo za Diamond kwa sasa utasikia akiwataja maprodyuza wake Lizer au Tudd Thomas ambao kwa kiasi kikubwa ndio wanaomtengeneza ngoma kali zinazomfanya aishi kwenye muziki.

Lakini yupo Prodyuza wa kwanza kabisa kumuibua Diamond ambaye wengi hawamfahamu, Anaitwa J Silk.

Kiupitia Exclusive Interview na Global TV, J Silk amefunguka jinsi ambavyo alianza kufanya kazi na Diamond, kazi alizofanya nae na alimuona wapi kipindi hicho, ni muhimu kufahamu wasanii wetu walipotokea Tazama interview hii hadi mwisho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic