January 17, 2019


Klabu ya Soka ya Yanga imepata pigo baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani na Taifa Sstars, Hassan Goebles ‘Gobbos’ ambaye amefariki dunia leo Alhamisi, Januari 17, 2019, asubuhi.

Kwa mujibu wa mtoto wa marehemu, Ibrahim Hassan, mipango ya maziko inafanyika nyumbani kwake Sinza Mori jirani na Big Bon ambapo Mazishi yanatarajiwa kufanyika kesho baada ya Swalat Ijumaa katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni jijini Dar.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic