Hakuna kocha hapa hana dalili yakuwa kiongozi anajiamini na kazi yake. Si rahisi kuiongoza Simba kuonesha hali ya kujiamini na hilo ndio tatizo. Wanasimba hawakatai timu yao kufungwa lakini cha kusikitisha timu na wachezaji hawaoneshi hali yeyote ya kuipigania timu ambako unaweza kusema kufungwa tumefungwa lakini wachezaji wamepambana hilo halipo kabisa hivi sasa ndani ya wachezaji wa Simba ni bure kabisa. Ila kuwapa ushauri wa bure simba kuelekea mechi ijayo ya maruduano na El ahly Simba wanatakiwa kubadilisha ratiba yao ya mazoezi nakuwa ya saa sita au saa nane mchana ili kujiimarisha zaidi na hali hiyo ya joto kwani ni muda muafaka kwa Simba kuicheza mechi ya maruduano na Ahly. Jambo jengine mashabiki na wapenzi na wanachama wa Simba kwa kiasi fulani wamenyon'gonyea hivi sasa misili ya kifaurongo hawana tena ile ari waliokuwa nayo mwanzo na si rahisi kuja kujaza uwanja tena kama hazitafanyika jitihada maalum za kuwahamasisha na moja ya jitihada hizo ni lazima Simba waeke viingilio rafiki sana ikiwezakana karibu ya bure kwa mashabiki kuja kushangalia timu yao la sivyo uwanja wa taifa utakuwa mweupe siku hiyo bila ya mashabiki.
Kocha ana shida huyu, sio bure. Simba ijitafakari juu ya kocha huyu, jambo la busara ni kumvunjia mkataba apishe wanaweza kuwahamasisha wachezaji wacheze kwa kujituma.
Hakuna kocha hapa hana dalili yakuwa kiongozi anajiamini na kazi yake. Si rahisi kuiongoza Simba kuonesha hali ya kujiamini na hilo ndio tatizo. Wanasimba hawakatai timu yao kufungwa lakini cha kusikitisha timu na wachezaji hawaoneshi hali yeyote ya kuipigania timu ambako unaweza kusema kufungwa tumefungwa lakini wachezaji wamepambana hilo halipo kabisa hivi sasa ndani ya wachezaji wa Simba ni bure kabisa. Ila kuwapa ushauri wa bure simba kuelekea mechi ijayo ya maruduano na El ahly Simba wanatakiwa kubadilisha ratiba yao ya mazoezi nakuwa ya saa sita au saa nane mchana ili kujiimarisha zaidi na hali hiyo ya joto kwani ni muda muafaka kwa Simba kuicheza mechi ya maruduano na Ahly. Jambo jengine mashabiki na wapenzi na wanachama wa Simba kwa kiasi fulani wamenyon'gonyea hivi sasa misili ya kifaurongo hawana tena ile ari waliokuwa nayo mwanzo na si rahisi kuja kujaza uwanja tena kama hazitafanyika jitihada maalum za kuwahamasisha na moja ya jitihada hizo ni lazima Simba waeke viingilio rafiki sana ikiwezakana karibu ya bure kwa mashabiki kuja kushangalia timu yao la sivyo uwanja wa taifa utakuwa mweupe siku hiyo bila ya mashabiki.
ReplyDeleteKocha ana shida huyu, sio bure. Simba ijitafakari juu ya kocha huyu, jambo la busara ni kumvunjia mkataba apishe wanaweza kuwahamasisha wachezaji wacheze kwa kujituma.
ReplyDelete