February 4, 2019

1 COMMENTS:

  1. Unataka Nionzima aseme nini? Game kama zile za Ahly ndio game zake kutokana na uzoefu alionao lakini kocha anakwenda kumuamini kinda Rashidi Juma. Binafsi namkubali sana Rashidi Juma na namtaka kama ananisikia basi azidishe bidii na kama atafanya jitihada ya kutafuta kanda za samata wakati akiwa simba basi zitampa akili zaidi ila kwa mechi ya juzi ugenini utashangaa kwanini kocha wa simba akamueka Niyozima benchi na akamuingiza John Boko alietoka kwenye majeruhi akimuacha Salamba aliefiti benchi, bila ya kuwapa nafasi hawa wachezaji kocha wa Simba anatumainia nini kutoka kwa hawa wachezaji?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic