MECHI ZA SIMBA UGENINI KATIKA LIGI KUU BARA ZILIZOSALIA HIZI HAPA
Hizi hapa mechi za ugenini kwa Simba katika Ligi Kuu Tanzania Bara
Machi 3
Vs Stand United- Kambarage, Shinyanga
Aprili 6
Vs KMC – Taifa, Dar
Aprili 15
Vs Coastal Union-Mkwakwani, Tanga
Aprili 19
Vs Kagera Sugar- Kaitaba, Bukoba
Aprili 22
Vs Alliance- CCM Kirumba, Mwanza
Aprili 25
Vs Biashara- Karume, Musoma
Aprili 30
Vs Prisons- Sokoine, Mbeya
Mei 22
Vs Singida Utd- Namfua, Singida
Mei 3
Vs Mbeya City – Sokoine, Mbeya
Mei 26
Mtibwa Sugar- Jamhuri, Morogoro
Kwan round ya Kwanza Simba alicheza wapi na Coast??
ReplyDeleteSimba na Coastal Union hawajacheza round ya kwanza.
DeleteMimi nakumbuka mchezo wao na Simba wakwanza ulichezwa katika kiwanja cha Mkwakwani nyumbani kwao Costal na huko wakachapwa nakumbuka 2. Kwani kamaa hawana kumbukumbu?
ReplyDeleteAliyefungwa bao 2 ni JKT Mkwakwani siyo Coastal. Hawajacheza kama ilivyo kwa Mtibwa, Kagera nadhani na Biashara pia.
DeleteSimba bado hawajacheza na coastal hata mechi moja mcmu huu
ReplyDelete