February 27, 2019


Kiungo wa Simba Clatous Chama amewajibu watu wanahoji kushuka kwa kiwango chake akiwataka mashabiki wa Simba kutotilia shaka kiwango chake. 

Akizungumza baada ya mchezo dhidi ya Lipuli FC uliomalizika kwa Simba kushinda 3-1 huku yeye akifunga mawili, Chama amesema mashabiki wanapaswa kuelewa kuwa siyo kila siku mchezaji atakuwa na kiwango kilekile huku akisisitiza kuwa hajabadilika. 

Awali kabla ya mchezo huo, Azam TV ilizungumza na kocha wake msaidizi Denis Kitambi kuhusu suala hilo, ambapo alieleza kitu walichokifanya wao kama viongozi ili kurejesha kiwango cha kiungo huyo raia wa Zambia.

2 COMMENTS:

  1. Sisi watanzania akili zetu sio nzuri yaani mchezaji anaambiwa kashuka kiwango kwa kutocheza vizuri mechi mbili?

    ReplyDelete
  2. Kumwelekeza chizi unajipa kazi! Mashabiki sio waelewa ndg zangu

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic