February 27, 2019


Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Azam FC Hans Van Der Plujm ambaye amefukuzwa juzi baada ya Azam kufungwa na simba mabao 3-1 mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam Ijuma iliyopita.

Azam imekua na matokeo mabaya ya hivi karibuni na kupelekea kumtimua kocha wao huyo ambaye alisajiliwa msimu wa mwaka huu ambapo aliitumikia Azam FC kwa muda mchache.

1 COMMENTS:

  1. TATIZO LETU BADO LUGHA YA KIINGEREZA WAANDISHI WETU JITAHIDINI BADO KIINGEREZA SHIDA

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic