MCHEZO wa hatua ya robo fainali kati ya Alliance na Yanga kwa sasa ni kipindi cha pili Yanga wanaongoza kwa bao 1-0, uwanja wa CCM Kirumba.
Dakika ya 38 Heritier Makambo anaandika bao la kuongoza kwa Yanga akitumia pasi ya Pius Buswita na kuachia shuti kwa mguu wa kushoto akiwa nje ya 18.
Dakika ya 60 Alliance wanaandika bao la kwanza kupitia James Joseph.
Mashabiki wamejitokeza kutazama mchezo wa leo huku amshaamsha zikiwa kama zote kwenye mchezo wa leo ambao una ushindani kwa timu zote mbili.
0 COMMENTS:
Post a Comment