March 30, 2019

MCHEZO wa hatua ya robo fainali kati ya Alliance na Yanga Uwanja wa CCM Kirumba umekamilika kwa timu zote kufungana bao 1-1.

Yanga walitangulia kufunga bao dakika ya 38 kupitia kwa Heritier Makambo kipindi cha kwanza na Alliance waliandika bao la kusawazisha dakika ya 63.

Timu zote zilishambuliana kwa zamu na kila mmoja kuonyesha uwezo wake hali iliyosababisha kutoshana nguvu.

Hii inakuwa robo fainali ya kwanza kushuhudia mshindi akipatikana kwa penalti.

4 COMMENTS:

  1. Enter your
    comment...ongera alliance

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  3. JANGWANI FC ilioanzishwa miongo mingi iliyopita imewafunga Alliance FC ambao ndiyo Mara ya kwanza wanacheza premium league

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic