KIKOSI cha Taifa Stars kitakachoanza leo dhidi ya Uganda mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2019 kwa Mujibu wa Gazeti la Michezo la SpotiXtra Jumapili.
1. Aishi Manula
2. Gadiel Michael
3. Erasto Nyoni
4. Hassan Kessy
5. Kelvin Yondan
6. Himid Mao
7. Simon Msuva
8. Jonas Mkude
9. Feisalum Abdalah
10. Mbwana Samatta
11. John Bocco
Leo watanzania tukutane Taifa huku tukiomba kheri tupate matokeo mbele ya Uganda. Pia tusubiri kikosi cha boss wa Stars Emmanuel Ammunike kitakavyokuwa leo kwa kuwa amesema amejifunza kupitia makosa kwenye mchezo wake uliopita.

Yaah kikosi kizur mana timu ni katikat hapo hakuna lawama kinacho takiwa kila mchezaji akave nafas yake kwa mkude ni master mind wa kukaba hususani humid na dogo fei Toto master mind was pas na mikwaju hatari langon ngoja tuone eeeh#mungu bariki taifa stars #barik nchi yetu
ReplyDeleteTusubiri tuone kikosi ni kizuri
ReplyDelete