KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA ALLIANCE HIKI HAPA, KINDOKI KAMA KAWA LANGONI
Kikosi cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Alliance, mechi ya Kombe la Shirikisho
1. Klaus Kindoki
2. Paul Godfrey
3. Simon Gustavo
4. Said Makapu
5. Kelvin Yondani
6. Feisal Salum
7. Mrisho Ngassa
8. Papy Tshishimbi
9. Heritier Makambo
10. Amiss Tambwe
11. Pius Buswita
Kikosi cha akiba
12. Ibrahim Hamidu
13. Mohamedd Jafarry
14. Thaban Kamusoko
15. Raphael Daudi
16. Haruna Moshi Boban
17. Andrew Vincent
18. Deusi Kaseke
Alliance 2 yanga 1
ReplyDeleteYanga wamepigwa fine mara mbili kwa kupitia milango isiyo rasmi ikiwa ni tuhuma za kishirikina . Kwa kikosi chao cha leo hata kama watatoa sare nitaanza kuamini kidogo kidogo kuwa uchawi katika mpira unaweza ukawepo
ReplyDeleteUlifikiri haupo? Timu isingekuwa imefungwa 5 Misri au Congo eti baadae unashinda 1 DSM
DeleteYanga imewahi kupigwa fine mara mbili kwa kupitia milango isiyo rasmi kwa tuhuma za kishirikina . Kwa kikosi chao cha mechi ya leo kama hata watatoa sare tu nitaamini kuwa uchawi michezoni upo
ReplyDelete