YANGA WAJA JUU VIKALI JUU YA WANAOHARIBU MIPANGO YO, WAAHIDI KUWAANIKA MMOJA MMOJA
Uongozi wa Yanga umesema utawaanika wale wote wanaoharibu mipango ndani ya klabu hiyo inayoendelea ikiwemo suala la uchangishaji wa fedha.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Ofisa Habari wa Yanga, Dismas Ten, amesema kuwa kuna baadhi ya watu anaamini wanatumika ili kuichafua Yanga wakidhani watawazuia kufikia malengo yao.
Kauli ya Ten imekuja baada ya taarifa kadhaa zinazosambaa mitandaoni zikieleza mambo tofauti kuhusiana na uchangishaji fedha huo pamoja na suala la uchaguzi.
0 COMMENTS:
Post a Comment