SIMBA YATOA TAMKO RASMI BAADA YA CAF KUWAPANGIA TP MAZEMBE
Baada ya kupangwa kucheza na timu ya TP Mazembe katika hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, uongozi wa Simba umesema utakuja na kauli mbiu mpya baada ya mechi ya Stars na Uganda kupita.
Kauli mbiu "kata funua mpaka kieleweke"
ReplyDeleteNaamini TUTATOBOA TU safari hii.
ReplyDeletekila la heri
ReplyDeleteSimba inayo fursa nzuri sana ya kuvunja mwiko na kuweka historia mpya!!
ReplyDeleteLakini ni sharti iimarishe idara ya ulinzi na ushambuliaji.. Otherwise watafunga machache nyumbani alafu ugenini alafu wanapigwa mengi kupita zile hamsa hamsa!
Nampendekeza Lamine Moro yule beki alokuja kucheza SportPesa..! Upande wa washambuliaji mbadala wa John Bocco akipatikana ataisaidia sana #Simba kufunzu na kuingia nusu-fainali..!!
"KANYAGA TWENDE"
ReplyDeleteSimba nguvu moja kuwakilisha taifa
ReplyDeleteJipeni matumaini Mikia FC
ReplyDelete