April 22, 2019


NYOTA ya jaa inazidi kumuangukia baba wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Abdul Juma baada ya kupata shavu la kurekodi wimbo mwingine mpya.

Akipiga stori na Over Ze Weekend, baba Diamond anayetamba na Ngoma ya Dudu la Yuyu alioshirikiana na msanii Sungura, kwa sasa amepata shavu lingine la kurekodi ngoma mpya na msanii Gumbo chini ya Prodyuza Mona Gangstar.

“Yaani sijui hata nisemaje, baba Diamond amenichukulia kama mtoto wake na amenipa heshima zote za kunisikiliza na kuamua kuingia na mimi studio ni jambo jema sana,” alisema Gumbo ambaye ni msanii aliyewahi kufanya nyimbo kibao.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic