April 10, 2019


TIMU ya maofisa Masoko wa Kampuni ya Global Publishers ambayo ndiyo inachapisha gazeti la Betika,leo ilikuwa  maeneo ya Kigamboni jijini Dar es Salaam na kukutana na wasomaji wakiwa wanasoma gazeti hilo.

Gazeti hili la Betika huingia mtaani kila Jumatano na hugawiwa bure kwa wasomaji wote kuanzia miaka 18.

Kwenye gazeti la Betika kuna hadithi na uchambuzi wa mechi mbalimbali ambazo zinachezwa siku husika pamoja na habari kemkem za michezo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic