IMEELEZWA kuwa Kocha Mkuu, AS Kigali, Masoud Djuma ambaye alikuwa kocha msaidizi wa Simba amefungashiwa virago na mabosi wake hao kutokana na mwenendo mbovu ndani ya klabu hiyo.
Djuma, kipenzi cha wana Msimbazi alijiunga na AS Kigali Oktoba mwaka jana baada ya kuachana na Simba kwa kile kilichoelezwa kushindwa kuwa na maelewano na bosi Patrick Aussems.
Djuma akiwa na AS Vita aliongoza timu hiyo kwenye michezo 23 ambapo alishinda michezo saba na ametoa sare michezo 9 na kupoteza michezo saba akiwa nafasi ya saba.
As Vita au As Kigali?
ReplyDeleteTumeshamzoea mwandishi anakuwaga na typing error kibao. Anaweza kuwa anaongelea ngumi Mara animalizia na riadha hawagi serious
Delete